yt 1352 Naibu Wa Rais William Ruto asema hatarajii uungwaji mkono Mlima kenya - Naibu Wa Rais William Ruto asema hatarajii uungwaji mkono Mlima kenya

Naibu Wa Rais William Ruto asema hatarajii uungwaji mkono Mlima kenya

June 10, 2019

Naibu Rais William Ruto sasa anasema hatarajii uungwaji mkono kutoka eneo la Mlima Kenya na kuwa eneo hilo halina deni lake la kisiasa. Wiliiam Ruto ambaye alizuru eneo la Oljororok kaunti ya Nyandarua, amewataka viongozi kutimiza ahadi zao kwa wakenya.
Nao mrengo wa kieleweke unaongozwa na mbunge maalum Maina Kamanda walikita kambi katika eneo bunge la Kandara na kutaka mabadiliko ya katiba

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Original of the video here

Kenya News
Kenya Business News
Kenya Political News
Kenya Sport News
Kenya Gossip

Back to home page