yt 3692 Hofu ya makabiliano ya Kenya na Somalia yaibuka kuhusu mpaka - Hofu ya makabiliano ya Kenya na Somalia yaibuka kuhusu mpaka

Hofu ya makabiliano ya Kenya na Somalia yaibuka kuhusu mpaka

August 8, 2019

Kenya haitasita kwenda vitani dhidi ya Somalia endapo njia za kidiplomasia zitashindwa kutatua mzozo wa mpaka wa baharini kati ya nchi hizo mbili ambapo Somalia inapanga kuuza vipande vya eneo lenye utajiri wa mafuta vilivyoko katika eneo linalozozaniwa.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Original of the video here

Kenya News
Kenya Business News
Kenya Political News
Kenya Sport News
Kenya Gossip

Back to home page